[ADUIO]Wengi wanateseka na Maradhi ya Tezi ya Thyroid, Hypothyroidism,Hashimoto’s Thyroiditis, Goita.

Watu wengi sana wanasumbuliwa na maradhi ya tezi ya thyroid ila kwa sababu ya kutokujua bado wanateseka na maradhi haya. Elimu hii itakufundisha sana.

Dr Boaz Daktari wa magonjwa ya binadamu na mwelimishaji mashuhuru wa magonjwa ya binadamu Tanzania anaeleza kwa kina kupitia kipindi cha audio hii.

Bonyeza hapa Usikilize mafunzo yake.

 

Kama unapenda kutizama Video za Somo hili zima tafadhali bonyeza video hizi hapa Chini

SEHEMU YA KWANZA;

SEHEMU YA PILI

SEHEMU YA TATU

 

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*