Msongo wa mawazo,Hukabili wengi Visababishi na athari zake kiafya

Bonyeza button hapa chini upate elimu ya Msongo wa mawazo.

Msongo wa mawazo unaumiza zaidi ya majeraha ya kupigwa. Na athari za msongo wa mawazo huwa ni kubwa sana inakadiliwa ni sawa na mjumuisho wa athari zote za pombe,sigara,mazoezi duni na lishe duni.

Msikilize Dr Boaz amekufundisha mambo kadhaa ukizingatia utaokoa afya yako.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*