[AUDIO] Dalili zinazo ashiria Moyo Kupanuka,Visababishi vyake na Hatua za Kuchukua Kujitibu

MOYO KUPANUKA ni ugonjwa unaokuja kwa kasi sana nyakati za sasa jamii inapokuwa inateseka na maradhi ya utandawazi yaani Kitambi,kisukari,presha yakupanda nk

Msikilize Dr Boaz Mkumbo bonyeza Audio hii hapa Chini

MAMBO YA MSINGI

  1. Utangulizi
  2. Tafsiri ya moyo kupanuka
  3. Dalili za moyo kupanuka
  4. Magonjwa yanayo sababisha moyo kupanuka
  5. Namna ya kujikinga
  6. Jinsi ya kutumia lishe kudhibiti majanga ya moyo kupanuka.

Kama utakuwa na swali tutumie whatsapp na Pia unaweza kujifunza zaidi katika kitabu changu cha sayansi ya mapishi.

Whatsapp: 0767074124 au 0787999994

Best regards

Dr Boaz Mkumbo

Mkurugenzi HeA

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*