Kupungua tumbo,matiti, Bila kupungua hips. Je inawezekana kwa kutumia lishe bora?

Nataka Kupungua “Shavu tu, Hips zangu zibaki”, “Nataka Kupungua tumbo tu Mguu wangu ubaki”, “Nataka Kupungua titi tu, Hips zangu usiguse”.
Mna Masharti nyinyi wanafunzi wangu 🤣🤣🤣. Ingekuwa mnatoa masharti ya hivyo kwenye Chips Kuku,Juisi na vyoda kwamba “Nimeamua kukula wewe chips naomba unipe hips tu ila sio tumbo” Labda tusingekuwa na majanga haya.

Haya hebu Tizama video hii ujifunze

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*