Magonjwa ya moyo sasa ni TISHIO zaidi hata ya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.

   

 

Mambo yaliyo zungumziwa ni haya:

1.Takwimu zinaonesha kwamba wagonjwa wa moyo husababisha kifo zaidi ya mara mbili ukilinganisha na idadi ya vifo vya maradhi ya HIV.

2. Magonjwa ya moyo ni tishio kwa nchi masikini

3. Ulaji usiofaa unaokuweka hatarini kupata magonjwa ya lishe.

 

 

 

 

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*