[AUDIO] Ushuhuda: Sayansi ya Mapishi imeniponya Kisukari nimehakiki kwa Vipimo vya Kimaabara

Festo mkazi wa Moshi alifahamu huduma yetu ya matibabu kupitia dada yeke Sia Tarimo, anasema:

1. Alikuwa na kilo 88 sasa ameshapunguza kilo 12kg na ana nguvu za kutosha.

2. Sukari ilikuwa inasoma 26mmol/L sasa inasoma 4-5mmol/L

3.Glycosylated hemoglobin ilikuwa inasoma 12 sasa inasoma HbA1C 4.7 kwa mujibu wa WHO sasa sio Mgonjwa mwenye Kisukari tena

4. Amefanikiwa kufikia HbA1C ya 4.7 ndani ya mwaka mmoja kwa kutumia chakula kama tiba yaani sayansi ya mapishi.

Yeye anajitafsiri kamba AMEPONA KISUKARI na amelihakiki hilo kwa kutumia vipimo cya Kitalamu.

Hebu sikiliza hapa mahojiano yake na mimi kwa njia ya simu. Ongeza Sauti ya simu usikilize vizuri

 

Kitabu Hiki Nuru ya Kisukari Zawadi ambayo Baba, Mama,Mpendwa wako Anayeteseka na Kisukari Hatakuja Kutia.Nimeandika Mambo haya ya Msingi sana:-
1. Maana HALISI ya Ugonjwa wa Kisukari. Achana na Ile unayo Ijua wewe. Ukikosea Maana Huwezi Kukabili Ugonjwa.
2. Nimejibu Upotoshaji kwamba “Kisukari ni Ugonjwa wakurithi” Nilifuatilia Propaganda hizi nikashangaa kuona Elimu ya Epigenetics inasema “Haturithi Kisukari bali Vina saba vya Kutuhatarisha kupata Kisukari,Halafu tuna MAMLAKA ya Kuviamuru Visioneshe au Vioneshe Ugonjwa. Wengi mnaishi kwa Kuigana Ukoo mzima, Utaumia Wenzako wakichekelea. Badili mfumo wa Lishe utashangaa Unajitofautisha na Ukoo wote wanaoteseka na Kisukari.

3. Nimetoa ufafanuzi wa Kina Kwa nini “Kisukari ni Ugonjwa wa Kuto-STAHIMILI sukari” Watu wanapotosha kwamba “Sukari haisababishi Kisukari” Anakuumiza Mtu wa hivyo mwache augue yeye halafu ale Sukari.

4. Nimejadili kwa kina Hatua tano za Ugonjwa wa Kisukari. Watu hawajui Sukari huanza Kupanda kwenye damu ukiwa hatua ya tatu. Ina maana hatua za awali sukari huwa ipo kawaida kabisa. Wanaosema “Mungu amenijalia na Kitambi chote hiki Sukari ipo kawaida” Anajiongopea sana. Nimeeleza Vipimo vya kimaabara unavyoweza Kufanya Kujigundua mapema kabla Glucometer haisoma SUKARI JUU. Ukisubiria Sukari Ipande Utakuwa UMEFIKIA PABAYA SANA.

5. Nimeeleza Historia ya Madaktari magwiji wa dunia walioshiriki Kupata ufumbuzi wa kisukari duniani, Mbinu walizotumia, Zilizofanikiwa na zilizo gonga mwamba. Ili upate picha HALISI ya Ugonjwa huu.

6. Nimetoa SULUHISHO nimeweka Kanuni ambazo Ukizingatia Lazima Kisukari Utakidhibiti ndani ya miezi 6 na kuendelea. Hautakuwa wa kwanza Nimeandika KITABU HIKI baada ya Kupokea SHUHUDA NYINGI juu ya MATOKEO MAZURI SANA kwa Wagonjwa wa Kisukari.

Elimu ya Kitabu Hiki Imetokana na Utafiti wa kina wa Marejeo ya Vitabu vya Misingi ya SAYANSI, TAFIFI ZA KISAYANSI, na UZOEFU WANGU kwa Muda Mwingi Kushiriki Pamoja na JAMII KUISAIDIA kupata UTAMBUZI WA JINAMIZI MPYA HUYU KWA NCHI MASIKINI

Kwa maelezo zaidi: 0767074124 au Piga 0222760202

Kupata Elimu zaidi Follow Instagram : @boazmkumbomd @boazmkumbomd

ASANTE SANA SHARE NA NDUGUYO

 

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*