Mafunzo [Audio]: Vidonda vya tumbo, SIBO na Lishe yake ndani ya Sayansi Ya Mapishi

Tafadhari sikiliza mafunzo haya kwa utulizi kabisa juu ya vidonda vya tumbo. Yafuatayo yamezungumziwa ndani ya mafunzo haya:-

  1. Maana ya Vidonda vya Tumbo
  2. Aina ya vidonda vya tumbo
  3. Namna ya kutofautisha aina hizo kuu mbili za vidonda vya tumbo
  4. Dalili za vidonda vya tumbo
  5. Dalili mbaya zinazo hatarisha maisha kwa mwenye vidonda vya tumbo
  6. Ushauri wa lishe na changamoto zake
  7. Ushauri namna gani sayansi ya mapishi inaweza kukusaidia kiafya.
  8. Hitimisho

    SIKILIZA KWA KUBONYEZA KATIKATI NA ONGEZA SAUTI

Je una Kitabu cha SAYANSI YA MAPISHI toleo la Tatu? Funua Ukurasa 303 tuanze safari mpya ya Kujitibia vidonda vya tumbo kwa kula kwa kufuata sheria na taratibu za SAYANSI YA MAPISHI.

NB: Kinapatikana kwa mawakala wetu Tanzania nzima wasiliana nasi kwa namba hizo kwenye Tangazo endapo utahitaji kuanza maisha yako mapya leo.

No automatic alt text available.

 

Pia unaweza Kupakua Lishe Bora HeA app ukaanza kuelimika zaidi kwa njia ya audio,video za mapishi na makala mbalimbali. Bonyeza hapa kupakua katika simu yako: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.dautechnology.abdimuna.hea&hl=en_US

Image may contain: 1 person, text

2 Comments

Leave a Reply to Dr Boaz Mkumbo Cancel reply

Your email address will not be published.


*